thanks bro for ua assistance
Mimi ni mzaliwa wa moja ya mikoa ya nyanda za juu, lakini simshauri mtu kuwekeza kwenye kilimo cha mahindi & Maharage hawezi kufanikiwa, Labda: vitunguu, Viazi mviringo, Nyanya.

Huko Nyanda za Juu Kusini ebu sema ni mkoa gani hasa, na wewe mara ya mwisho kufika kule ni lini?
Rekebisha kauli yako, UNAPOTOSHA Mkuu!
Kweli kabisa!