Nataka kufahamu Smatphone zinazotumia game pad

Nataka kufahamu Smatphone zinazotumia game pad

Ramid

Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
55
Reaction score
17
Naombeni mnifahamishe smartphone zinazoweza kutumia game pad ukiitoa galaxy s4. Na je pad zake zipo..
 
mkuu hizo simu za pad zimejaa sana.

Tuanze na windows phone 8 na kindle fire kuna controller inaitwa MOGA. Hii controller inasuport kindle fire za amazon kama kindle fire 7, 7hd na kindle fire 8.9 version zote za 3g na ambazo ni wifi.
Kwenye windows phone 8 inasuport lumia 920,820,720,620 na 520, htc 8x na 8s, samsung ativ na odyses, huawei w1

yenyewe ipo hivi na inatumia bluetooth
mogawindows01.jpg


tuje kwenye ios hawa ndo wana accessories nyingi na mimi pad ninayoipenda sana ni the calliber maana naiona ipo unique kidogo
Caliber-Advantage-Game-Controller-for-iPhone.jpg

zipo nyingi sana kwenye ios

kwenye android (include s4)
hao hao moga wapo pia kwenye android
51NmafVyd3L._SX200_.jpg

kwa android inabidi uwe na kuanzia gingerbread na kuendelea 2.3+

bei za controller nyingi ni dola 30 hadi 50 tuseme 45,000 hadi 80,000

ushauri kuhusu platform ya kuchukua kuchezea game.
-kama unahitaji game nyingi sana chukua ios (iphone, ipad, ipod)
-kama unataka game za bure na za kuchakachua nenda nenda android (htc, samsung, sony, lg)
-kama unahitaji game zenye achievement, ku upload score online, kushindana na wenzako score ulizopata nenda windows phone ukacheze xbox live.
 
Nimekusoma vilivyo chief. Thanks a lot...
 
Back
Top Bottom