Haiwezekani kwa sababu muda umeenda sana na bila shaka ulibakisha miezi miwili kabla ya kufungwa kwa shule ili uingie form six.Niko form Five, nasoma PCB. Nataka kubadili combination kuchukua PCM, Je inawezekana?
Kurudia nao mtihani. Basi ngoja nkomae. Asante sana.Haiwezekani kwa sababu muda umeenda sana na bila shaka ulibakisha miezi miwili kabla ya kufungwa kwa shule ili uingie form six.
Kama ingelikuwa ni mwanzoni kabisa kabla ya miezi mitatu ya mwanza ingewezekana ila kwa sasa umeshachelewa.
Labda urudie darasa na kuanza upya kidato cha tano.
Bora urudie tu kuliko kuhangaika na kitu usichokiweza ambacho kitakugharimu maisha yako huko mbeleni.Kurudia nao mtihani. Basi ngoja nkomae. Asante sana.
Dogo ...pambana na hali yako...unaweza kufanya hivyo kirahisi kwa private schools...PCB kwa TZ ndiyo toughest Combi kwa A levelNiko form Five, nasoma PCB. Nataka kubadili combination kuchukua PCM, Je inawezekana?
Eti dogo, mbona unanifahamu kuwa tumesoma wote UDSM? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😳 😳 😳 😳 😳 😎😎😎😎 Hawa ni watoto wetu! Hujambo 1954 kuzaliwa TANU?Dogo ...pambana na half yako...unaweza kufanya hivyo kirahisi kwa private schools...PCB kwa TZ ndiyo toughest Combi kwa A level
Shule yangu hutaifikia! Hawa ni wajukuu!We mzee ulianza kusoma MEMKWA?
Tehteh hahaha Ila usinipe ujiko wa elimu...Mimi level yangu ya chini Sana...hahahaEti dogo, mbona unanifahamu kuwa tumesoma wote UDSM? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😳 😳 😳 😳 😳 😎😎😎😎 Hawa ni watoto wetu! Hujambo 1954 kuzaliwa TANU?
Maana yake unataka uondoe masomo mawili, yaani BAM na Biology halafu uya-replace na Mathematics! Ni uamuzi wa busara sana, kama utaruhusiwa. Kwa sababu unachotaka kufanya ni kuondoa masomo matatu, yaani Biology, Bilogy Practical na BAM, halafu uchukua NUSU SOMO, yaani Pure Mathematics. Pure Mathematics kwako ni nusu somo kwa sababu BAM tayari ni kama ina 75% ya dose ya Pure maths, na ikitokea kwa bahati mbaya wakati mwingine mtihani wa BAM huwa unakuja umepinda utadhani ni wa Pure Maths. Kwa hiyo unachotaka kufanya hapa ni kama ku-drop masomo matatu mazima, halafu uchukue nusu somo.Niko form Five, nasoma PCB. Nataka kubadili combination kuchukua PCM, Je inawezekana?
Muda ni mchache wengi wameshauri, but you have a valid argument!Maana yake unataka uondoe masomo mawili, yaani BAM na Biology halafu uya-replace na Mathematics! Ni uamuzi wa busara sana, kama utaruhusiwa. Kwa sababu unachotaka kufanya ni kuondoa masomo matatu, yaani Biology, Bilogy Practical na BAM, halafu uchukua NUSU SOMO, yaani Pure Mathematics. Pure Mathematics kwako ni nusu somo kwa sababu BAM tayari ni kama ina 75% ya dose ya Pure maths, na ikitokea kwa bahati mbaya wakati mwingine mtihani wa BAM huwa unakuja umepinda utadhani ni wa Pure Maths. Kwa hiyo unachotaka kufanya hapa ni kama ku-drop masomo matatu mazima, halafu uchukue nusu somo.
Mimi kila siku huwa nawaambia watu katika combinations zote A-level, hakuna combination ambayo ni ngumu kama PCB. Mimi hapa nilipo nichukue hata leo naweza kusoma chochote kile kinachosomwa hapa duniani, lakini siyo PCB. Mziki wa PCB naujua, na huwa nashangaa kwa nini kuna watu wanaweza kusoma combination kama hiyo, wana brain ya ajabu sana!