Nataka kubadili combination ya masomo PCB to PCM

Kuhama unahama vizuri tu.. Ila Kuna hatua za kufata watakufahamisha hapo shuleni kwenu!!

Binafsi ningependa ubaki PCB hapohapo ukomae tu na hio Biology
 
Nenda kwa mkuu wa shule akiwa peke yake ofisini mwambie passion yako
Ongea kwa utulivu Sana
Najua mwanzoni atakukazia usiogope komaa ikiwezekana lia machozi ofisini.
 
Niko form Five, nasoma PCB. Nataka kubadili combination kuchukua PCM, Je inawezekana?
Haiwezekani kwa sababu muda umeenda sana na bila shaka ulibakisha miezi miwili kabla ya kufungwa kwa shule ili uingie form six.

Kama ingelikuwa ni mwanzoni kabisa kabla ya miezi mitatu ya mwanza ingewezekana ila kwa sasa umeshachelewa.

Labda urudie darasa na kuanza upya kidato cha tano.
 
Kurudia nao mtihani. Basi ngoja nkomae. Asante sana.
 
Komaa wewe sa PCB unakimbia bios wakati kuna practical kule... Wew komaaa tuu japo PCB ni fire
 
Niko form Five, nasoma PCB. Nataka kubadili combination kuchukua PCM, Je inawezekana?
Dogo ...pambana na hali yako...unaweza kufanya hivyo kirahisi kwa private schools...PCB kwa TZ ndiyo toughest Combi kwa A level
 
Dogo ...pambana na half yako...unaweza kufanya hivyo kirahisi kwa private schools...PCB kwa TZ ndiyo toughest Combi kwa A level
Eti dogo, mbona unanifahamu kuwa tumesoma wote UDSM? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😳 😳 😳 😳 😳 😎😎😎😎 Hawa ni watoto wetu! Hujambo 1954 kuzaliwa TANU?
 
Tehteh hahaha Ila usinipe ujiko wa elimu...Mimi level yangu ya chini Sana...hahaha
 
Umeamua kurudi nyuma A'level baada ya kuona kama uliruka stage!
 
Niko form Five, nasoma PCB. Nataka kubadili combination kuchukua PCM, Je inawezekana?
Maana yake unataka uondoe masomo mawili, yaani BAM na Biology halafu uya-replace na Mathematics! Ni uamuzi wa busara sana, kama utaruhusiwa. Kwa sababu unachotaka kufanya ni kuondoa masomo matatu, yaani Biology, Bilogy Practical na BAM, halafu uchukua NUSU SOMO, yaani Pure Mathematics. Pure Mathematics kwako ni nusu somo kwa sababu BAM tayari ni kama ina 75% ya dose ya Pure maths, na ikitokea kwa bahati mbaya wakati mwingine mtihani wa BAM huwa unakuja umepinda utadhani ni wa Pure Maths. Kwa hiyo unachotaka kufanya hapa ni kama ku-drop masomo matatu mazima, halafu uchukue nusu somo.

Mimi kila siku huwa nawaambia watu katika combinations zote A-level, hakuna combination ambayo ni ngumu kama PCB. Mimi hapa nilipo nichukue hata leo naweza kusoma chochote kile kinachosomwa hapa duniani, lakini siyo PCB. Mziki wa PCB naujua, na huwa nashangaa kwa nini kuna watu wanaweza kusoma combination kama hiyo, wana brain ya ajabu sana!
 
Muda ni mchache wengi wameshauri, but you have a valid argument!
 
We mkuu me sijawahi kukuelewa, yaan we miaka yote unaulizia mambo ya kusoma tu.. Kusoma gan kusikoisha huko..?
Mara nataka CO
Mara kilimo
Mara kupadili combi
Mara nimesoma Udsm
Mara me mzeye
Mara wajuuu
 
Back
Top Bottom