Msiba wa Taifa
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 128
- 53
Jamani mimi nimerud tena kuuliza swali mnisaidie tafadhari...
Nimejaribu kujaza form ya mkopo lakini kuna kipengele cha kuonesha kama ni yatima au wazazi wako hawana uwezo au una mzazi mmoja.
Sasa mimi nina mzazi mmoja ambaye ni mama tu...
Swali langu ni kwamba naweza jaza option ya kuwa yatima.
Kw maana nina mzazi.mmoja mama tu .
NAOMBENI USTAARABU KASHFA USIINGIZE TAFADHARI NAOMBENI MAJIBU MAZURI YA KISTAARABU.