Nataka kuanzisha kiwanda cha tomato souce, naomba muongozo

Mkuu vp kuhusu soko umekwisha andaa?? Kama vp tuungane
Soko halina shida ingawa sijafanya feasibility study kwan nawaza kuanza na wachona chips,uli kujitangaza nitawakopesha ili waijalibu nakuona itakubalikaje kwa wateja,
 
Tabu naiona kwa kina tfda tu, vifungashio vimejaa china ingia alibaba vinauzwa 0.3- 06 usd kutegemea na ujazo. Unaweza agiza vya mil 2 yakaja makopo kibao tena yakiwa peinted na labeled sawa na utakavyo
 
Bonge la point... pata pespi baridi na maji kubwa popote ulipo...
 
Mtaji ni sufuria kubwa nyanya za kutosha,pilipili,chumvi na mafuta ya kupikia,jiko la mkaa na mkaa.baada ya hapo karangiza paki kwenye chupa za maji au soda takeaway peleka sokoni utauza tu.
 
Soko halina shida ingawa sijafanya feasibility study kwan nawaza kuanza na wachona chips,uli kujitangaza nitawakopesha ili waijalibu nakuona itakubalikaje kwa wateja,
Tuungane sasa tupige kaz mkuu
 
mwenye idea na biashala hii anijuze,kwan nataka kuanzisha kiwanda kidogo kitakacho zalisha lita 50-100 kwa siku.Ilia sijui pa kuanzia
vifaa,mtaji,mahitaji na upatikanaji wa mashine pia vifungashio
TFDA INAKUHUSU
 
Sehemu gan mkuu mwenyej sana huko ndio home
we unapajua wap? uenyeji wako utanisaidia nn mimi? kwanza sihitaji share kabisa hii itapunguza migogoro ya kiutendaji na kimaslahi pia, niache kwanza
 
Shenzi type waliofanikiwa wengi hawana hii mentality ni ya kimaskini sanaa... Mfano Diamond mwenyewe angekua anawaza hivi ungekuta bado yuko mbagala. Mtu akiwa interest mskilizie kama mnaendana.. na keep proper record kama mko partners mnakua full transparent mtafanikiwa sanaa huu msuli wa kukomaa mwenyewe... . kua na partner mnaendana kitabia na mnaenda kwa makubaliano mwanzo mwisho.
 
mwenye idea na biashala hii anijuze,kwan nataka kuanzisha kiwanda kidogo kitakacho zalisha lita 50-100 kwa siku.Ilia sijui pa kuanzia
vifaa,mtaji,mahitaji na upatikanaji wa mashine pia vifungashio
Ungemuuliza Prof. Muhongo angekupa ushauri mzuri maana yeye anao uzoefu na hivi viwanda vya tomato,juice nk.
 
Back
Top Bottom