Nataka kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji

Tafuta mayai PURE toka mikoani vijijini (Mijini kuku ni mchanganyiko) - peleka kwenye incubator - zalisha

this is best way to start from step 10 on....

Step number moja ni kutafuta tetea na jogoo.... u have to wait 3 to 4 yrs to see the project breaking even.
 
naomba kuuliza kuhusu kuku aina ya black australorp amabao asili yao ni australia na wanasifika sana kwa utagaji wa mayai mengi yenye kiini cha njano na gamba jeupe nje. nimetembeelea kwenye blogs na web za wabongo wamemterm huyu kuku black australorp kama aina ya kuku wa malawi. je ni kweli black australorp wanaosifika hivyo ulimwenguni ni hawa kuku weusi wabongo wanawaita "kuku wa malawi"?. watalaamu na wafugaji wazoefu mkuje na majibu
 
Kuna grupu la UFUGAJI WA KUKU lipo Facebook...jiunge litakusaidia sana mnyalukolo
 
Kuna mdau humu aliwata Silverlands Iringa, nimetembelea Silverlands Poultry Training Centre

1655911650351.png
 
Yule mzungu amejipanga Sana kufanya mapinduzi katika biashara ya kuku na chakula Chao.
Hao jamaa wa kwenye bandiko lako, hauhitaji digrii kujua Kama ni matapeli. Maana namba za simu hizo zote ni moja hiyo hiyo kwa mikoa yote!
Labda walipanga kumchafulia biashara mwenzao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom