Vifaa vinavyohitajika ni mixer ya kuchanganyia udongo, vibrator machine ya kufyatua tofali, vibao angalau 1000 vya kuanzia, tank la kuhifadhi maji na uchimbe kisima na kufunga mota ya kupump maji kwenda kwenye tank na kupeleka kwenye umwagiliaji.
Pia utengeneze box za tofali inchi 4, 5 na 6, sababu ukinunua machine hazitakuja na box zake.