Nataka kuandika email white house

TATE

Member
Aug 11, 2010
89
17
nataka kuandika email white house kuhusu concern yangu jinsi utawala wa Obama unavyofumbia macho injustice zinazoendelea Tanzania na kuishia kusifia serikali ya Kikwete kuhusu utawala bora, je hili ni wazo zuri? na je kuna mtu ashawahi kutuma email huko na je zinajibiwa?
 
andika ubalozini straight. lakini kumbuka Obama hatambuliwi na katiba ya jamhuri ya muungano wa Tz.
 
Hey...nakushangaa Bwana Isimilo unaposema katiba ya JMT haimtambui Obama...Umeshawahi kusikia US wanahitaji kutambuliwa na serikali yoyote wanapotaka kufanya ishu yao mahali?...Je serikali na katiba ya Libya ilikuwa inaitambua Merikani kipindi hicho ilipotandikwa?, na nchi nyingi za hapo Gulf zina vipengele kwenye katiba vinavyoihusu Merkani?
Wale wanarekebisha tabia upende upende!
 
andika ubalozini straight. lakini kumbuka Obama hatambuliwi na katiba ya jamhuri ya muungano wa Tz.

Hivi Tz nako kuna katiba? Na kama ipo inamtishia nani? Katiba ya kumtishia maskini wa Tz haina nafasi katika ulimwengu wa sasa.
Mkuu Tate go on, andika na uipost kwenye website, blogs na group mails. Itafikisha ujumbe hata kama White (sic) House ya US hawataipokea
 
Back
Top Bottom