Nataka kuagiza gari nikiwashirikisha maofisa wa TRA kuhusu fedha ninazotuma

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,057
23,510
Nataka kuagiza gari Japan lakini nataka niwahusishe maafisa wa TRA ili waone procedure zangu zote mpaka ninavyotuma $ 1600 ili niepukane na uplift zao za kupandisha mpaka dola $7000.

Je litawezekana?

#kuona ni kuamini, kuona ni uhalisia.
 
Namimi ninaplan kama zako mkuu ngoja waje wahusika tujue najua sahiz wanakunywa kahawa ofisini so very soon watajoin na sisi
 
afisa wa tra sio anaeamua kodi yako.. bali ni mfumo na utaratibu ndio unamuongoza..

wewr hujawai kuajiriwa kwani?? kazi zinafanywa kwa kufata Standard operating procedures au work manuals na quality manuals..

so huyo ofisa utayemshirikisha hana ujanja wa kupindisha kodi tofauti na mfumo utakavyohitaji aamue
 
Ingia kwenye web ya TRA kuna kikokotoz pale utapata taarifa zote. Kuwahusisha haitakusaidia chochote.

Duc In Altum.
 
Nataka kuagiza gari Japan lakini nataka niwahusishe maafisa wa TRA ili waone procedure zangu zote mpaka ninavyotuma $ 1600 ili niepukane na uplift zao za kupandisha mpaka dola $7000.

Je litawezekana?

#kuona ni kuamini, kuona ni uhalisia.
Kuwashirikisha Aitakusaidia Kitu Mkuu.
 
afisa wa tra sio anaeamua kodi yako.. bali ni mfumo na utaratibu ndio unamuongoza..

wewr hujawai kuajiriwa kwani?? kazi zinafanywa kwa kufata Standard operating procedures au work manuals na quality manuals..

so huyo ofisa utayemshirikisha hana ujanja wa kupindisha kodi tofauti na mfumo utakavyohitaji aamue
***
So ni mfumo wa kukandamiza watanzania/
Aisee....
binadamu anahitaji:-
shelter
clothes
transport
foods.
#haya ni ya msingi sana!
 
clocodiletooth hapo katika mahitaji muhimu ilo la transport hapa kwetu limewekwa katika kundi la starehe wewe pick up toyota vvti izi,amaroki,ford ranger,isuzu kb ni gari za kazi zile kodi yake kwa haya ya 2010 ni zaidi ya 20 milioni sijui ni kukomoana ili watu tubaki na vipasso tuu.
 
Nataka kuagiza gari Japan lakini nataka niwahusishe maafisa wa TRA ili waone procedure zangu zote mpaka ninavyotuma $ 1600 ili niepukane na uplift zao za kupandisha mpaka dola $7000.

Je litawezekana?

#kuona ni kuamini, kuona ni uhalisia.

Wanavyopenda ku-uplift.......sijui kama utapona hapo......na unaweza kuwashirikisha ukaona poa.....lakini mwisho wa siku wakakugeuka usiamini......
 
Haiweezekani coz LAW YA VALUATION haiangalii negotiation zako na muuzaji.. Tra wana database zao zenye bei in minimum na maximum price. Kwnye magari ndio wamerahisisha kabisa kwani wameweka wazi bei zoote. Hivyo pitia kwanza uangalie ushuru ndio uagize. Otherwise utakuja kulisusa gari bandarini
 
Duh naona Magufuli amegeuza kununua gari ni anasa, maana kuna makato na ushuru wa hovyo hovyo tu, kisa kuonyesha anakusanya kodi..... Basi tuwe tunapewa taarifa mapema.
 
Haihusiani either umewashirikisha au hujawashirikisha,

Wenyewe wanaangalia gari ya mwaka gani engine size ni ipi na matumizi gani wanacalculate kodi yao!
Mbona wako wazi sana, nn kinachokuchanganya
 
Back
Top Bottom