Nataka kuacha huu mchezo nisaidieni

Nataka kuacha huu mchezo nisaidieni

ladywho

Senior Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
107
Reaction score
49
Baada ya mpenz niliempenda sana kunisaliti nilijikuta nimedevelop kitu ambacho kwa sasa naona sio kizuri though i used to enjoy it! Yaani, I lyk to hurt men, to break their hearts! I allow them to fall in love with me then b4 anything happen, akiomba penzi tu.. i do just dump them! Nataka kuacha bt najihisi nimekuwa addicted...naenjoy kuona wakiomba nafasi! Nifanyeje jamani?
 
Mmh mwanaume utapeendaje mwanaume mwenzio
 
teh teh teh teh
maskini dadayangu kwahiyo umeamua kujifanya pombe ya ngomani kila mtu anachota tu!?
 
itakuja tokea nimpende mtu tena kweli? I wish atokee huyo wa kumpenda kwa kweli Jerrymsigwa

Bahati mbaya niko occupied, I would have used these golden times for this solitary trophy loh

Sasa dunia ina midume zaidi ya Bilioni 4 bado huna hakika? Nina jamaa yangu anasaka mchuchu ka uko tyr nichek tu ila ni mzungu
 
Last edited by a moderator:
Nipigie simu au ni text...Ukija kwangu huwezi fanya hivyo!! lol..
 
we endelea tu but when your biological clock is about to quit and you are desperate to find a man utawakumbuka tu hawa
 
ladywho
If you think you are metal that cut through another metal keep it up, you will find another metal that cuts every where trust me
 
Last edited by a moderator:
Isije utakayempata akakuletea HIV...coz ujanja ujanja mwingi mwishowe kilio kwakuwa utatoa mzigo kwa huruma. ..Be care...!! Keep on.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom