nataka ku unlike like zangu zote

Siamini macho yangu!
Sikupendi tena! Ndio nini lakini jamani? Kuachwa na uporoto ndio upotee hivyo jf?

hehehehe! Nilikuwa na stress za matokeo ya form iv. Hebu naomba summary ya yaliyojiri. Lol. Nimekumisije!
 
hehehehe! Nilikuwa na stress za matokeo ya form iv. Hebu naomba summary ya yaliyojiri. Lol. Nimekumisije!
Bado nna hasira zako, subiri ziishe ndio nikupe samari.

Hujanionea klorokwini wangu jamani?
 
Bado nna hasira zako, subiri ziishe ndio nikupe samari.

Hujanionea klorokwini wangu jamani?

khaaa! Hebu kunywa maji hasira ziishe. Hivi huna habari kloro alikuwa anatumia laptop ya jirani, jirani amehama mtaa.
 
mmh, ntakununulia bajaji badi
baba mkwe mbona unakuwa mnoko ivo

afu kaliniambia hakawezi ishi bila mimi
ukiendelea kubana nakajumua kama bidhaa za china bila ridhaa yako.
aya.we kongosho we..ndio ahadi gani hio huku mwisho wa dunia ukiwa umeshakaribia
 
Back
Top Bottom