NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,379
- 17,957
Nasikia wako romantic na wenye heshima kushinda wakenya.
Nataka demu Mtanzania hapa ndani.
Nataka demu Mtanzania hapa ndani.
Kuna mmoja yuko hapo nje fungua mlango aingie hapo ndani ulipo.Nasikia wako romantic na wenye heshima kushinda wakenya. Nataka demu Mtanzania hapa ndani.
Nasikia wako romantic na wenye heshima kushinda wakenya. Nataka demu Mtanzania hapa ndani.
Nasikia wako romantic na wenye heshima kushinda wakenya. Nataka demu Mtanzania hapa ndani.
Mkuu nitafutie mkenya mimi nikitafutie mtanzania.
Deal?
||"You were too young to understand"||
Mademu wa kenya sura kama wamelamba ndimu,nenda dar sehem moja inaitwa kambi ya fisi.niwakarim sana,nenda kipande ile.
Aliekuambiaa kakoseaa huku utapigwa mara 6 ya mnavyopigwaa huko na wanawake zenyuu,boraa kaa na wa huko huko
Kiswahili chenyu kigumu hata sielewi wengine wenu mnachosema.
Ukiona demu mkalii Kenyaa sio mkenyaa ni mgenii katoka sehemu nyinginee au mashomber lakin chata zao hawa jamaa unaweza piga chafyaa
Kwenyu ni kwenyu wengine tunasema shen ni shen. Obama anahepahepa anaenda huku na huko. Tanzania sasa ni wapi. Njoo kwa nyumbani Obama!Kiswahili chenyu kigumu hata sielewi wengine wenu mnachosema.
Type in simpler language please. I didn't type in complex Kenyan Swahili that you couldn't understand yourself.
Nasikia wako romantic na wenye heshima kushinda wakenya. Nataka demu Mtanzania hapa ndani.