nataka demu mpole, ila mtata kitadani.
Nje kolekole, mwenye kupenda utani.
asiependa kelele, nakushida vijiweni.
asiwe kimbelembele kama anaoga uwani.
mwenye mapenzi tele, kama mtoto wa pwani.
Okay.. Basi mi napenda wakorofi Kama weye natumai nitaipata nafasi maana bwana wa majeshi kateta nami nakunionyesha uwaridi weye,nami ni nani mpk nilipinge neno la bwana..?!
Nipe moyo wako niufutike kwa huba.. nikuvishe na taji uwaache wenye kuruba..😉