Nataka access ya wifi ila ina password

first jaribu hizi:

0987654321

1234567890

1122334455

Trust me mara nyingi nakuta watu ndo pass zao lol!
 
huwezi kufanikiwa mtafute huyo mwenye hiyo wifi akupe password. Acheni uvivu wa kufikiri
 
huu ni wizi, unataka kutumia za watu kuibia watu online au?

kuna kujua nani mwizi, shauri yako.
 
Back
Top Bottom