Mautundu ya intaneti kwa mwenye kufahamu

sleee

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2022
Posts
218
Reaction score
319
Habar Wadau[emoji114][emoji114]
Hapa Ofisin Director General ametununulia Kifurushi cha Unlimited kwa mwezi Mzima hivyo nikiwa sina kazi huwa naingia Web mbalimbali maisha yanaenda.

Sasa Kuna jambo nataka kujifunza hapa.

Ukiwa na Simu unaweza washa Hotspot ukaunga Computer through Wifi ukaserf Web kama kawa.

Je, Computer iliyokuwa imeunganishwa na Wifi nikitaka kutumia ile Wifi kwenye simu nafanyaje ikiwa Password sizijui kwakuwa DG kazingua Kwa kumwambia It asitowe Password kwa watumishi na Computer zilizounganishwa ni za Ofisi tu.

Yaani cha Ajabu nikiweka LAN CABLE kwenye laptop yangu Sipati Internet kabisa.

Sasa nahitaj Maujanja ya Software gani ambayo inaweza kuoperate kwenye Computer ambayo imeunganishwa LAN kisha NikaHotspot kwenye Simu maisha yakasonga..
 
@Snowden E ( Edward Snowden) ni Computer system engineer.
Njoo in box nikupe madini.

Hakikisha aliyepo kwenye avatar ni wewe...kama siyo usije in box.
 
Mrembo mzuri kama huyu sleee anatakiwa nimpigie pindi la mautundu ya IT tukiwa mazingira tulivu magetoni. Sijajua IT officer anafeli wapi kumpa mrembo password
Mmh! [emoji15][emoji15][emoji15] Washaanza teyar.
Aisee Wabongo bhana tunatab sana yan badala ya kusolve tatizo langu mnaenda kwingine kabisa
 
Unatumia laptop aina gani?
Mnatumia window 10 au 11?
Kwenye laptop yako kama ni ya kisasa search neno mobile hotspot ukiipata
Click and switch on.
Utaona laptop name na chini yake utaona password za connection.

Naamini itakusaidia

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Okay [emoji8] nitajarbu hivyo
 
Aweke hapa mbinu za kutumia naiman kil mtu atanufaika na hiyo Knowledge yake
simple solution fanya reverse tethering utapata maximum speed kuliko ambayo ungepata kwa wi-fi ilimradi tu uwe na USB na akili ya kuvukia balabala.
Ingia youtube andika reverse tethering tutorial.
OVA
 
Habar Wadau[emoji114][emoji114]
Hapa Ofisin Director General ametununulia Kifurushi cha Unlimited kwa mwezi Mzima hivyo nikiwa sina kazi huwa naingia Web mbalimbali maisha yanaenda.

Sasa Kuna jambo nataka kujifunza hapa.

Ukiwa na Simu unaweza washa Hotspot ukaunga Computer through Wifi ukaserf Web kama kawa.

Je, Computer iliyokuwa imeunganishwa na Wifi nikitaka kutumia ile Wifi kwenye simu nafanyaje ikiwa Password sizijui kwakuwa DG kazingua Kwa kumwambia It asitowe Password kwa watumishi na Computer zilizounganishwa ni za Ofisi tu.

Yaani cha Ajabu nikiweka LAN CABLE kwenye laptop yangu Sipati Internet kabisa.

Sasa nahitaj Maujanja ya Software gani ambayo inaweza kuoperate kwenye Computer ambayo imeunganishwa LAN kisha NikaHotspot kwenye Simu maisha yakasonga..
Fungua cmd kwenye pc iliyounganisha na internet kisha andika hivi [emoji116]

Netsh wlan show profile name="wifi name" key=clear

Kisha bonyeza enter

Ukiandika kwa usahihi password utaziona kwenye kipengele cha "key content"
 
Sawa anapata password je kama kuna limit ya users na devices zote IT admin ameshazi whitelist? Labda ukute mambo ni tofauti au hakuna mambo mengi hapo ofisini hasa mjuaji wa internet.
 
Habar Wadau[emoji114][emoji114]
Hapa Ofisin Director General ametununulia Kifurushi cha Unlimited kwa mwezi Mzima hivyo nikiwa sina kazi huwa naingia Web mbalimbali maisha yanaenda.

Sasa Kuna jambo nataka kujifunza hapa.

Ukiwa na Simu unaweza washa Hotspot ukaunga Computer through Wifi ukaserf Web kama kawa.

Je, Computer iliyokuwa imeunganishwa na Wifi nikitaka kutumia ile Wifi kwenye simu nafanyaje ikiwa Password sizijui kwakuwa DG kazingua Kwa kumwambia It asitowe Password kwa watumishi na Computer zilizounganishwa ni za Ofisi tu.

Yaani cha Ajabu nikiweka LAN CABLE kwenye laptop yangu Sipati Internet kabisa.

Sasa nahitaj Maujanja ya Software gani ambayo inaweza kuoperate kwenye Computer ambayo imeunganishwa LAN kisha NikaHotspot kwenye Simu maisha yakasonga..
Softwares zipo kuna Connectify ile, kuna Wifi Hotspot ina rangi ya kijani zipo mingi sana pia kuna namna ya kuunda Hotspot kwa cmd kwenye PC yenye internet kikubwa iwe na uwezo wa kutoa/iwe na wifi drivers za hotspot vinginevyo itakua kazi ngumu.. Zama Youtube kupata malekezo zaidi.
 
Mamii Sleee hivi kwanini tusifanye kwanza koneksheni ya sisi wawili ambao ni wamililiki wa hizo divaisezi hiyo italeta urahisi zaidi wa divaisezi zetu kuwa konektedi kwa haraka na kwa ubora zaidi,, kama hutojali lakini!!!
 
Mmh! [emoji15][emoji15][emoji15] Washaanza teyar.
Aisee Wabongo bhana tunatab sana yan badala ya kusolve tatizo langu mnaenda kwingine kabisa
Umeyataka. Toa mzigo watu wajilie! Eboooo....
 
Back
Top Bottom