Kuna moja ni online platform naitumuaga kwenye kaz zangu ila inafanya vzuri zaidi kama mzungunzaji ni native US, Canada, Australia, Britain, kwa wengine kutokana na matamshi sometines inakosea.Wakuu msaada wa App inayoweza kufanya jambo hili
-: App inayoweza ku translate "voice " Kuwa "text "
Please hata kama ni program ya PC.
asante sana karibuni.