Natafutwa App inayoweza ku translate "voice " Kuwa "text "

mludego

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
2,395
3,197
Wakuu msaada wa App inayoweza kufanya jambo hili

-: App inayoweza ku translate "voice " Kuwa "text "
Please hata kama ni program ya PC.

asante sana karibuni.
 
Mbona kama play store ipo?
Tulishawah kujadili hapa ila sikumbuki vyema hebu mwite Mkwawa
 
Wakuu msaada wa App inayoweza kufanya jambo hili

-: App inayoweza ku translate "voice " Kuwa "text "
Please hata kama ni program ya PC.

asante sana karibuni.
Kuna moja ni online platform naitumuaga kwenye kaz zangu ila inafanya vzuri zaidi kama mzungunzaji ni native US, Canada, Australia, Britain, kwa wengine kutokana na matamshi sometines inakosea.
Nitakutumia nikiwa kwenye pc link nimeisahau.
Iko accurate sana uwa inanisaidia katka kazi za kutranscribe mahojiano.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom