Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,416
Jamani natafuta wa kumjua humu ndani.
Awe mmoja tu, wakiwa wengi itakua karaha.
My wife ni mmoja wa moderator humu mjengoni, so usini-mention jina atanuna, nitanyimwa kifungua kinywa cha alfajiri, ukinitumia PM ataiona, nahisi keshaniibia password.
Ukitaka tujuane we ninong'oneze tu mie nitajiongeza mdogo mdogo.
Jamani jitokezeni tujuane kabla mwaka haujaisha.
Umeitika kwa sauti kubwa mno mpaka wife kastukamimi hapa
acha uoga, unamlea amekua kidonda jamanUmeitika kwa sauti kubwa mno mpaka wife kastuka
No anayeniweka mjini, lolacha uoga, unamlea amekua kidonda jaman
duuuu!!!!!! Basi usiku mwemaNo anayeniweka mjini, lol
Akinuna kodi ya nyumba ntatoa wapi??
duuuu!!!!!! Basi usiku mwema
teh ndo unaondoka hivi hivi wajameni....
Haya ndo matatizo ya kufugwa
duuuu!!!!!! Basi usiku mwema
i Miss you
mic u too galfriend
Halafu anataka amuongezee mwenzie mfugo
hutaki hiyo nafasi?
mic u too galfriend
Hata kidogo
ngoja wajitwalie wengine
hata mimi nimekumiss....(nasubiria kwa mihamu jibu lako)