Natafuta

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
Jamani natafuta wa kumjua humu ndani.
Awe mmoja tu, wakiwa wengi itakua karaha.

My wife ni mmoja wa moderator humu mjengoni, so usini-mention jina atanuna, nitanyimwa kifungua kinywa cha alfajiri, ukinitumia PM ataiona, nahisi keshaniibia password.

Ukitaka tujuane we ninong'oneze tu mie nitajiongeza mdogo mdogo.

Jamani jitokezeni tujuane kabla mwaka haujaisha.
 
mimi hapa
 
Eeeh kumbe ndio mchezo wako huu nikitoka kidogo eeeh...
Leo utalala toilet......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom