Samandarojk
Member
- Sep 25, 2016
- 55
- 23
Natafuta penzi kweli, alonalo anipatie,
Asiwe kama wawili, matesoni akanitie,
Anite wangu halili, sifanane na tatie,
Autunze wangu mwili, hani bebi na switie.
Asiwe kama wawili, matesoni akanitie,
Anite wangu halili, sifanane na tatie,
Autunze wangu mwili, hani bebi na switie.