Natafuta Yard yenye bei nafuu ya magari

Natafuta Yard yenye bei nafuu ya magari

Wakuu Habari zenu,

Kwa yeyote anayefahamu, naulizia yard ya magari ambapo naweza kupata Rav 4 new model kwa bei nafuu au BMW X3.

Natanguliza shukrani.
Well, Yard pekee bongo wanayouza magari bei nzuri karibu kabisa na ya kuagiza mwenyewe ni Jan International, wapo maeneo ya vingunguti barabara ya airport, pia jamaa huwa hawa shushi mileage kama yards nyingi za dar.
 
Safi kabisa...haya ndo majibu...big up.
 
Well, Yard pekee bongo wanayouza magari bei nzuri karibu kabisa na ya kuagiza mwenyewe ni Jan International, wapo maeneo ya vingunguti barabara ya airport, pia jamaa huwa hawa shushi mileage kama yards nyingi za dar.

Nashukuru sana Mkuu.Nitaenda ku check huko pia.
 
Back
Top Bottom