Natafuta Yard yenye bei nafuu ya magari

Adjussi

Member
May 25, 2014
39
15
Wakuu Habari zenu,

Kwa yeyote anayefahamu, naulizia yard ya magari ambapo naweza kupata Rav 4 new model kwa bei nafuu au BMW X3.

Natanguliza shukrani.
 
Waweza kuwasiliana nami ikiwa unahitaji hizo gari.

Kwa yard hapa nchini, ninavyojua hauwezi kupata kwa bei rahisi, watakutoza fedha nyingi.
 
tuwasiliane mkuu niikupeleke 0657145555

Waweza kuwasiliana nami ikiwa unahitaji hizo gari.

Kwa yard hapa nchini, ninavyojua hauwezi kupata kwa bei rahisi, watakutoza fedha nyingi.
Hakuna tabia ya kipuuzi kama hii, mtu anahitaji aelekezwe sehemu yard ilipo harafu muda huohuo mnajivika udalali njaa. Mleta mada usijaribu utalizwa.
 
Kama Bombadier zilikuwa na dalali, ije hii!

Acha watu wapige dili.
 
Tanzania inavyo elekea itafika mahala ukumuuliza mtu hata ukuelekeze NJIA ya kupita atahitaji HELA umpatie. Mmm hatar sn
 
Mkuu bajeti yako ni kiasi gani? Kama vip nichek inbox nikupe msaada wa kupata gari la ndoto yako...
 
Hakuna tabia ya kipuuzi kama hii, mtu anahitaji aelekezwe sehemu yard ilipo harafu muda huohuo mnajivika udalali njaa. Mleta mada usijaribu utalizwa.
Habari yako,

Tafadhari jaribu kuwa mstaraabu na kutumia maneno ya busara.

Inamaana ni dhambi kumpa mtu ushauri.?!
Mleta mada mategemeo yake ni kupata gari ya bei rahisi, hivyo amedhani kuwa yard hapa nchini ataweza pata. Na ndio maana kupitia experience niliyonayo, nikamshauri hivyo nilivyo andika.

Sasa sijui kosa ni nini hapo.?!

Jaribu kuwa mstaraabu.
 
Waweza kuwasiliana nami ikiwa unahitaji hizo gari.

Kwa yard hapa nchini, ninavyojua hauwezi kupata kwa bei rahisi, watakutoza fedha nyingi.
Zina bei gani hapa na yard ni ipi iliyo reasonable?...yeye anataka jibu then ataona unafuu uko wapi after comparison.usiseme tu kuwa hapa ni bei ya juu ...unaweza kusema we ni ya juu yeye akaona iko OK..tumueleweshe mwenzetu na kwa faida ya wengine
 
Hakuna tabia ya kipuuzi kama hii, mtu anahitaji aelekezwe sehemu yard ilipo harafu muda huohuo mnajivika udalali njaa. Mleta mada usijaribu utalizwa.
Wa ng'wise Hata mie nawachukia sana Hata watu...mara nicheki kwa 07.....au tukutane pm...nawachukia sana..
 
Habari yako,

Tafadhari jaribu kuwa mstaraabu na kutumia maneno ya busara.

Inamaana ni dhambi kumpa mtu ushauri.?!
Mleta mada mategemeo yake ni kupata gari ya bei rahisi, hivyo amedhani kuwa yard hapa nchini ataweza pata. Na ndio maana kupitia experience niliyonayo, nikamshauri hivyo nilivyo andika.

Sasa sijui kosa ni nini hapo.?!

Jaribu kuwa mstaraabu.
kosa lipo, yeye kaomba hadharani wewe unataka kuanzisha vikao vya pembeni vya nini? au wewe ndo dealer wa bmw? mleta mada inabidi awe makini sana.
 
Kosa lipo kabisa...heri umueleze bei ya hizo gari kwa yadi za hapa unazozifahamu then mwambie kama atanunua nje bei ni kiasi kadhaa.yeye atafanya decision.. Sio unaanza kufanya decision wewe na kuaanza kuonyesha dalili za kumvuta kwenye line zako.Na huenda hana mpango wa kununua nje ya nchi
 
Habari yako,

Tafadhari jaribu kuwa mstaraabu na kutumia maneno ya busara.

Inamaana ni dhambi kumpa mtu ushauri.?!
Mleta mada mategemeo yake ni kupata gari ya bei rahisi, hivyo amedhani kuwa yard hapa nchini ataweza pata. Na ndio maana kupitia experience niliyonayo, nikamshauri hivyo nilivyo andika.

Sasa sijui kosa ni nini hapo.?!

Jaribu kuwa mstaraabu.
Unajua bajet yake? Nashangaa unasema hawezi kupata yard. Yeye kasema yard wewe unataka umpe ushauri gani? Au unataka umuuzie la kwako?

Hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom