Natafuta yard kupaki lori

Natafuta yard kupaki lori

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
131
Wana jf. Naomba kama kuna mtu anamjua mtu mwenye yard nataka nafasi ya kupaki lori scania kwa bei tutakayokubaliana.

Ahsanteni
 
mkuu mimi ni dalali nina maeneo mengi ambayo unaweza fanya yard na pia kuna maeneo ambayo unaweza paki tu hiyo scania yako mfano nina maeneo makubwa ya wazi hapo chamanzi , pale uwanja wa azam , kurasini, kinondoni n.k labda tuzungumze tuone kazi inafanyikaje 0657 145555 Akiri
 
Nipo hapa Tunduru, nina yard kubwa tu !
 
Enny mbona hujasema hiyo yard ungependelea wapi? Jamani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom