Natafuta wimbo wa Nuruelly

Natafuta wimbo wa Nuruelly

KANCHI

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2011
Posts
1,532
Reaction score
230
Mwenye wimbo wa Nuruelly unaitwa tumeagizwa upendo anisaidie. Pamoja sana wana jf
 
Mm mwenyew nautafuta kinoma kama umeupata nitumie
 
Mimi nashida na wimbo wa Neiba kisu kikali, Tundaman ft mpoto wimbo unaitwa mjomba hizo mbili
 
Jaman c huo ulio tuma wenyew aliuimba zamani chrous ina imba mm hv ni kama nan niseme na ringa majivuno kwa wenzangu mi na nimeumbwa tumeagizwa upendo ooooh ndio nyimbo ya nuruely nao utafuta na sio huu plz mwenye nao anisaidie
 
Ahsante Mkuu hata mimi nimeutafuta sanampaka nilipoona huu uzi, merci beaucoup
 
Back
Top Bottom