elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,760
Jamani wadau wa jukwaa hili naomba mwenye link ya kudownload wimbo wa hard mad ft fatma- tamala anisaidie.
Ni wa kitambo kidogo link nazopata naona hazifanyi kazi hivyo mwenye link anisaidie maana unanikumbusha mbali
Nyimbo kaimba hard mad halafu inaitwa zilipendwa? Mi nilidhani unataka za kina mbaraka mwinshehe!
Baby tamala usiku mzima sijalaaa.....ulikuwaga mzuri
Cheki web ya waptrick kuna old bongo fleva nyingi tu
Wengine hata hizo za akina baraka mwinshehe watakwambia sio zilipendwa.
Mkuu nimetumia neno hilo kwakuwa kasahaulika na nyimbo zake hazipigwi tena
Daaah.. Huo wimbo naukubali..
Hardmad hatakaa aimbe wimbo mzuri kama ule tena
Jamani wadau wa jukwaa hili naomba mwenye link ya kudownload wimbo wa hard mad ft fatma- tamala anisaidie.
Ni wa kitambo kidogo link nazopata naona hazifanyi kazi hivyo mwenye link anisaidie maana unanikumbusha mbali
Upo waptrick.com. Ukishaingia katika hiyo website nenda kwenye 'search' then utapata link ya kuunyonyaNiliusaka sana huo wimbo na sikuwahi kuupata...ukiupata nishtue mkuu
Upo waptrick.com. Ukishaingia katika hiyo website nenda kwenye 'search' then utapata link ya kuunyonya
Baby tamala usiku mzima sijalaaa.....ulikuwaga mzuri
Jamani wadau wa jukwaa hili naomba mwenye link ya kudownload wimbo wa hard mad ft fatma- tamala anisaidie.
Ni wa kitambo kidogo link nazopata naona hazifanyi kazi hivyo mwenye link anisaidie maana unanikumbusha mbali
Ooh beby tamaalaa aa ooh
beby tamalaa aa usikukucha sijalalaa,Duh ulinipaga dem miaahiyo Wakati
nasoma Lutheran junior seminary ,ni pm nikutumie kwa whatsap
kaka.