Natafuta wholesalers wa bolt and nuts

FADHILIEJ

Senior Member
Nov 5, 2010
132
18
Wadau mimi ni muuzaji wa hivi vitu kwa rejareja lakini changamoto niliyonayo ni upatikanaji wake hasa kwa bei za jumla kwani wengi wanaojiita wholesalers ni middleman tuu,
Tafadhali anayewajua wauzaji wa jumla wa uhakika anisaidie.

ASANTENI SANA.
 
Back
Top Bottom