Natafuta wazazi wa hiari

Natafuta wazazi wa hiari

Joined
Nov 25, 2015
Posts
93
Reaction score
6
Morning JF,

Mimi ni binti natafuta mom and daddy wa hiari ambaye atanipa maneno mazuri ambayo mzazi umpa mwanae ambaye atanifariji kama mzazi anavyomfariji mwanae pia ambaye atanipenda kama mzazi ampendavyo mwanae nami nitafanya kama mtoto afanyavyo kwa mzazi wake daddy mom.

Ni pm kama unahitaji mtoto wa hiari.
 
Kama uko serious tuongee PM nikua-adopt kabisa.
 
Back
Top Bottom