Natafuta waya wa simu za mkononi

Natafuta waya wa simu za mkononi

kibonge90

Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
53
Reaction score
42
Habari za muda huu.
Naomba Kama kuna mtu anaweza nisaidia wapi nitapata waya wa Simu ya mkononi ambayo unatoka kwenye Simu kwenda kwenye mkono wa kuongelea

Simu yenyewe Kama hiyo hapo no aina ya MOVITEL Ila hizo waya huwa zinaingiliana Mara nyingi.

IMG_20200414_173705_850.jpeg
IMG_20200414_173645_851.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom