Natafuta wauzaji wa vifungashio vya vichupa

Natafuta wauzaji wa vifungashio vya vichupa

brave_3

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2014
Posts
1,186
Reaction score
710
Habari zenu wakuu...
Naomba ambaye ni muuzaji wa vifungashio vya vichupa kuanzia gram 80,100,250 na kuendelea naomba tuwadiliane..au Mtu ambaye añae fahamiana na muuzaji naomba unijuze..

Mfano wa aina ninavyo vihitaji kama hivyo kwenye picha.
20190729_180852.jpeg
 
Nenda kariakoo sokoni maduka mengi unachagua sample unayoitaka.
 
Back
Top Bottom