Natafuta waunga bundle za halotel?

Natafuta waunga bundle za halotel?

Kuna mwingine yupo hapa JF siku ya kwanza aliniuzia GB 10 kwa 10,000.
Siku ya 2 akanipa GB 8.5 kwa 10,000 aliniambia wamepandishiwa bei.
Nataka nifatilie tigo kinara plus nasikia bei imepoa kidogo.
kimbe
 

Attachments

  • IMG-20250417-WA0000.jpg
    IMG-20250417-WA0000.jpg
    88.4 KB · Views: 11
Back
Top Bottom