Natafuta watu waliosomea Css na Html

Gwangzu

JF-Expert Member
Dec 21, 2017
2,460
3,818
Yes Naaam kama wewe umesoma Html na Css computer language njoo tuunde company tupige hela
HTML na Css ni nini?
Html na Css
kwaujumla ni Computer language ambazo zinahusika na ku,desgn web,, Ku,dsgn web application ninapozungumzia web application ndio kama hii Jamiiforums hata hii Jamiiforum
imetengenezwa kwa Hizi Code HTML , CSS NA JAVASCRIPT sasa natafuta watu mliopitia hizi coze iwe online au class lakini uwe na ujuzi hata %10
tupige pesa maana bongo bado watu wamelala mpaka wakija kuamka tutakuwa tumepiga mpunga wa hatare!
kwa maelezo zaidi nifuate Pm.
 
Mimi nina 80% knowledge ya CSS NA html had Php. Ila cjawai jua kama kuna idea mpya ya kupiga pesa zaidi ya kutengeneza websites
 
Hizo language zako 2 sijui 3 utatengeneza nn? Alo gazeti. Huja mentioned hata server script language
 
ndio mkuu unaweza kudsgn web applicatin kama una knowledge nimuda wa kuunda team hata ya watu watano wenye knowledge mpige pay wewe kama hii jamiiform imeundwa tangu 2006 kipiindicho hata bando la mbs au lmaongezi hakunaga wenzio wakatengeneza jf mpaka leo wanapiga pesa zakutosha
 
JF hawakudesigne hii kitu. Walitumia Php script inayoitwa PHP bulleting board
 
Hizo language zako 2 sijui 3 utatengeneza nn? Alo gazeti. Huja mentioned hata server script language
Wewe acha ujinga nimesha disgn web ya michezo na udaku kwa kutumia Css na Html
Code:
<!DOCTYPE html>
<html>
<body>

<ul>
  <li><a href="#home">Nyumbani</a></li>
  <li><a href="#news">Habari</a></li>
  <li><a href="#contact">Kuhusu</a></li>
  <li><a href="#about">Udaku</a></li>
</ul>

<h1 style="background-color: blue;"><p>Hii ni tovuti ya habari na michezo</p>

</body>
</html>
 
Hahahahha hujui unachofanya ww, ukiachana na hizo markup language, programming language gani unaijua???

mkuu niko vzur katika html na css..
napga cpp kdogo, vp naweza jiunga nanyi
 
Back
Top Bottom