Nina uduvi peke yake,kuhusu kipi bora kati ya uduvi na vumbi la dagaa sina jibu la moja kwa moja,,nijuavyo vyote vinatumika kama chakura cha mifugo,kama kuna wafugaji hapa wanaweza kufafanua zaidi.
Si ungeweka hata namba zako za simu iwe rahisi kuwasiliana na wewe? Au ndiyo hadi mteja afunge safari hadi huko Tabata Barakuda kisha aanze kuulizia watu anapopatikana Busekela muuza uduvi?