Natafuta wateja wa tikiti

Natafuta wateja wa tikiti

Wadau tikiti zipo tayari hekari 2 aina sukari F1 zipo chato mjini.Makubwa kama gari ni tani 30 .
daaa, sh ngapi? unajua sometimes unaweza nunua kitu sababu tu flan ndo anauza!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hivi kwanini kila mtu sasa hivi anayelima anakimbilia matikiti.........hakuna kilimo cha.matunda mengine....
 
Back
Top Bottom