Natafuta wateja wa kununua miti pamoja na land

lillies

Member
Oct 2, 2012
47
16
Habari wana janvi,
Natafuta wateja wa kununua miti pamoja na Ardhi.

Miti ni aina ya PINE na ni heka 5

Inapatika mkoani Njombe

Bei 15,000,000 kwa heka zote 5.

Miti ina mwiaka sita (6 years).

Mawasiliano 0755238761
 
Back
Top Bottom