Natafuta wateja wa bidhaa za Forever Living

Natafuta wateja wa bidhaa za Forever Living

Juju_Kiki

Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
36
Reaction score
2
Habari wakubwa zangu. Mimi natafuta watu nitakao kua nawauzia bidhaa za forever living na malipo ni baada ya week moja mpaka mwezi.

Napokea orders kutoka kwenye pharmacy na maduka mbalimbali.

Karibuni.
 
Mimi naitaka ile sabuni yenu ya kupaka sehemu fulani ili ni kaze misuli, hata nikiwa na mama watoto ajiskie dunia yote ni yake.
 
Nguvu unayoitumia kuuza hizi bidhaa, laiti ungeielekeza kwenye kuuza hata maji tu ya kupima kwa kikombe ungetoka.
 
Write your reply.....Kwa Mahitaji Ya Bidhaa Kutoka Forever Living Products Tafadhali Wasiliana Nami Kwa Namba Whatsapp 0769230966 Au Kwa Kutuma Ujumbe Wa Sms Kwa Namba 0622414175
Tunapatikana Dar Es Salaam Makumbusho Victoria Pia Tunafanya Derivery Mikoa Yote Ya Tanzania Baada Ya Kufanya Malipo Tunakutumia Bidhaa Yako Kwa Njia Ya Mabasi Yanayokuja Mikoani
Kama Upo Dar Es Salaam Tutakuletea Mahali Ulipo Baada Ya Kufanya Malipo
 
Back
Top Bottom