Natafuta wasichana wanne wa kazi Arusha

Natafuta wasichana wanne wa kazi Arusha

Jofrey Elifas

Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
19
Reaction score
11
Natafuta wasichana wanne wa kazi wawe arusha tuu naomba mtu alieko nnje ya arusha asipige cm
Mashart
Awe najua kutunza kumbu kumbu
Awe mwaminifu pia awe mkwel
Tupigie cm +255769368674
+255744390023
 
Napenda kwenda kumsalimia rafiki yangu yupo university of Arusha ili tu nipande hiace za USA river ' napendaaaa mno wanavyoongea raia waliokulia R chuggah
[emoji1] [emoji1] ,vipi hujaanza kuwa kama wao uongeaji?, mi huwa natabasamu sana wanavyoongea,they are so fun, eti kuprint ndyo katembea kwa miguu[emoji1] [emoji1]
 
[emoji1] [emoji1] ,vipi hujaanza kuwa kama wao uongeaji?, mi huwa natabasamu sana wanavyoongea,they are so fun, eti kuprint ndyo katembea kwa miguu[emoji1] [emoji1]
Bado kabisa hata dalili sina 😂 ila kuna ile ' woiiii, waiiii ndio zimenikaa
Wanafurahisha sana Ngareroo emu tiririka kidogo basi
 
Ilo lipo wazi mbona. Mwajiri hana writing skills. Ukipata kazi muoneshe utaalamu ulioupata pale Mlimani a.k.a UDSM
Jamaaa anataka wake wanne kwa mara moja Mwingine atakaa kwemye draw la pesa,mmoja anaendesha pickup, wawili wahudumu makuli wakusambaza bidhaa
 
Napenda kwenda kumsalimia rafiki yangu yupo university of Arusha ili tu nipande hiace za USA river ' napendaaaa mno wanavyoongea raia waliokulia R chuggah
Ngongongare/safari njema/mji mwema/napoco
 
Back
Top Bottom