Natafuta wasichana wanne wa kazi Arusha

Natafuta wasichana wanne wa kazi wawe arusha tuu naomba mtu alieko nnje ya arusha asipige cm
Mashart
Awe najua kutunza kumbu kumbu
Awe mwaminifu pia awe mkwel
Tupigie cm +255769368674
+255744390023
wewe mbona unatosha kabisa kufit nafasi za hao wanawake
 
Jamaaa anataka wake wanne kwa mara moja Mwingine atakaa kwemye draw la pesa,mmoja anaendesha pickup, wawili wahudumu makuli wakusambaza bidhaa
Kudadeki umepatia sana huyu anataka mamong'ooo wa r chuga wanne waku muhesabia kibunda 😂😂😂😂
 
Kwenye kamusi ya kiswahili hakuna neno "Utaalam" kuna neno "Utaalamu". Huku kujifanya mnajua vizuri kiswahili na kuwa vimbelembele wa kuwakosoa wenzenu mnaishia kujidhalilisha.
DiasporaJay njoo umuone aliyekuwa anakurekebisha na kujifanya mtaalamu wa kiswahili kumbe kichwani hamna kitu.
Kila mjuaji kuna anayejua zaidi yake mkuu. Nadhani atakuwa amejifunza
 
Back
Top Bottom