tunasongaMbele
Member
- Apr 1, 2021
- 57
- 51
Hello wakuu habari zenu
Natafuta wasafirishaji wa mizigo wenye uhakika na kazi kama ifuatavyo;
1.Kutoka bandarini kwenda Congo(hii ni tender ya mwaka mzima)
2.Kusafirisha mazao kutoka kusini mwa Tanzania kwenda bandarini(dar)
Kwa yoyote mwenye mawasiliano namuomba pm tujadili pia ni kazi ambazo ninazo tayari.
asante.