Natafuta wapangaji wa stockyard

Natafuta wapangaji wa stockyard

vinkg

Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
15
Reaction score
14
Natafuta wapangaji wawili wa stockyard iliyo pembezoni mwa ukuta (wa cement bricks) wa nyumba yangu Sinza A off sheikhlango road
INAFAA BIASHARA YA:
1. Kuuza mbao na miti ya mirunda rejareja na jumla, kuchana na kuranda mbao kwa machine, kustock na kuuza rejareja steelhardware, vifaa vya ujenzi, bomba, seremara nk. biashara ya mbao ni adimu sheikhlango road
2. Workshop ya kuchonga mageti ya kisasa, furniture za chuma/mbao, grill, milango, madirisha, vitanda , sofa, nk
ENEO LILIPO
Off Sheikhlango road karibu na kituo cha Sinza A kwa Remi. Ni makutano ya barabara mbili. kuna nafasi ya kuonyesha (display) finished goods. Mahala hapa pamezungukwa na garage, mafundi jiko, seremara. ni karibu na barabara urahisi wa kupakia/kupakua mizigo (access to road 20 m).
KODI
Laki mbili kwa mwezi. Malipo miezi sita advance
GHARAMA zingine ndogo ndogo za mpngaji ni pamoja na kukarabati miundo mbinu iendane na biashara yake, kuweka racks, vitendea kazi (machine)
MAWASILIANO
private message (pm), simu tigo 0672355824 na voda 0754639615
saa 2 asubuhi mpaka saa 12 jioni
karibuni sana tujenge taifa
 
Back
Top Bottom