Natafuta wanafunzi wa UDOM kozi ya environmental engineering

Dominic Myumbilwa

Senior Member
Jan 5, 2017
190
93
Natafuta wanafunzi wanaosoma chuo kikuu cha dodoma kozi ya environmental engineering especially wale wa mwaka wa kwanza


Nataka niwaunganishe na wale wanaosoma chuo cha ardhi kozi hiyo hiyo ya environmental engineering maana hii kozi inafundishwa vyuo vikuu viwili pekee


Hivyo basi kwa wale wa udom dondosha namba yako hapa nikuunge group la wasap la environmental engineers la Aru $Udom
Naomba Kuungwa Humo 0717 624 100
 
1487105230407.jpg
 
Back
Top Bottom