Natafuta wanafunzi wa kuwafundisha tuition

Avittrust

Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
22
Reaction score
6
Wakuu habarini mimi naitwa Avittrust niko hapa jijini tanga nina kituo cha kufundisha tution kama kichwa kinavoelezea hapo natafuta wanafunzi niwafundishe tution...katika kituo changu ...haswa masom ya sayanc naamanisha (fizikia,kemia,bayolojia ) na hata hesabu kuanzia kidat cha kwanza hadi cha sita
Nina uwez mkubwa wa kufundisha na uzoefu pia..na bei ni nafuu kabisa
Tafadhali kwa yeyote anaehitaj naomba tuwasiliane kupitia namba hii
+255 0716-2095-07

Tanzania ya viwanda haiwezi kuja bila ya kuwa na wataalam.
 
Watakuja mkuu kila lakheri

pia namimi niko riverside hapa kwa wanaohitaji kusoma wanaweza nitafuta kuna kituo nafundsha hapa kwa wenye uhitaji mnakaribishwa kuanzia kidato cha 1-6
 
Pamoja sna man nimkosa mkopo bana... ndo tunajishulisha hata tupate za kujikim...bana
 
Wakuu habarini mimi naitwa Avittrust niko hapa jijini tanga nina kituo cha kufundisha tution kama kichwa kinavoelezea hapo natafuta wanafunzi niwafundishe tution...katika kituo changu ...haswa masom ya sayanc naamanisha (fizikia,kemia,bayolojia ) na hata hesabu kuanzia kidat cha kwanza hadi cha sita
Nina uwez mkubwa wa kufundisha na uzoefu pia..na bei ni nafuu kabisa
Tafadhali kwa yeyote anaehitaj naomba tuwasiliane kupitia namba hii
+255 0716-2095-07

Tanzania ya viwanda haiwezi kuja bila ya kuwa na wataalam.

Heshima Comrade, Avittrust .

Biashara ni matangazo. Hivi ndivyo mfumo wa kibepari unavyojipigania. Kwao hao sera ya Ujamaa imeshapitwa na wakati. Napata tabu kumleta mwanangu aje kufundishwa na mtu asiye na uandishi nadhifu (Kumradhi). Kwanini unaandika bila kusoma?.

Katika Marketing/ advertisement ni kosa kubwa mno ulilolifanya. E nenda ukasome vya kuzingatia kabla ya uandishi wa tangazo ndipo uandike tena kwa hati nadhifu.

Umetumia kigezo ya Jamii Forums kama platform pekee au hata unakofanyia huu ufunzaji una matangazo?. Umebandika tangazo la unachokifanya kuzunguka eneo unakofundishia?.

Zaidi ya yote, kila la kheri.
 
Ndiyo nimeweka matangazo around...
Kuhusiana na uandish wa tangaz kwakwel me nmejaribu tu kufikisha kile nlichokuwa nataka kwa watu husika ila pia nashukur kwa kunifahamisha kusiana na swala hilo kwan itanifanya skunyingne ni express tangaz kwa njia nzur zaid ...
 
Me Naishi Dar So Nikuletee Wanafunzi Huko Ulipo Dah Mbna Shule Kama Ulienda Kukua tu young Boy Tuition Matangazo C Ukabandike mtaani Huko
 
Mkuu mimi pia nipo dar, tuwasiliane ili uniletee wanafunzi
 
Back
Top Bottom