Mkemia nipo hapa kwa wanafunzi wa iringa mjini.

Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
4,728
3,172
Mwalimu wa somo la kemia kwa wanafunzi kuanzia kidato cha 1-6 nipo hapa kama kuna shule yeyote ya hapa iringa mjini inahitaji mwalimu wa somo hilo napatikana kufundisha kama temporary teacher au kama kuna tuition centre yeyote ile nipo kwa ajili ya somo hilo nina uzoefu wa kutosha katika fani hiyo.CV yangu kwa wanaohitaji waniPM ila nina vigezo vyote na uhakika wa elimu yangu.tutaongea vizuri kwa mwenye swali
 
Back
Top Bottom