Natafuta walimu wenye vipaji vya ufundishaji morogoro

Natafuta walimu wenye vipaji vya ufundishaji morogoro

godn80

New Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Natafuta watu wenye uwezo mzuri wa kufundisha o level hasa masomo ya HISTORY ENGLISH KISWAHILI GEOGRAPHY CIVICS LITERATURE IN ENGLISH NA BIBLE KNOWLEDGE HATA KAMA NI FORM SIX LEAVER LAKINI UNA KIPAJI KARIBU. NAMBA ZANGU NI 0755555066.
 
Okey, mimi ni mwalimu wa Kiswahili na Historia, ni degree holder. Kama malipo yenu ni ya uhakika na mazuri nichek kupitia 0752796133, nauamini uwezo na kipaji changu cha kufundisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom