Natafuta wakuniondoa upweke

Kama hakutaki aseme tu watu tukave nafasi. Baridi yote hii anakuacha peke yako. Mpe deadline mkuu haiwezekani akutese kiasi hiki. Mia
 
haahahah bibie.@shansarie umemkosea kitu gani huyo Mpenzi wako mpaka amekukimbia? Inasikitisha sana.
kaka mkubwa MziziMkavu huyo jamaa atakuwa kafichwa na nyumba ndogo.si unajua wake wakubwa wakishaolewa tayari wanaanza kuleta dharau? zile heshima na taadhima za enzi za uchumba zinafutika,
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…