Uko mkoa ganiHabari wadau Mimi natafuta wakiri aweze kunisaidia maswala yangu binafsi mana nahisi kuna uonezi fulan
Karibu tukuhudumieHabari wadau Mimi natafuta wakiri aweze kunisaidia maswala yangu binafsi mana nahisi kuna uonezi fulan
Anatafuta Wakiri au WakiliKaribu tukuhudumie


Hhhhhhh ni typing error mkuu nadhani hiyo
Nimependa sana wazo lako BabaMorgan,ni kweli tukiweka wazi humu Mambo ya kisheria unaweza pata msaada kwa haraka zaidi! Mambo mengi ya kuitana chember mwisho wake mnaishia kulaumiana tu!!Funguka yaliyokukuta humu wanasheria tupo wengi sana tunaweza kukupa muongozo ukalimaliza mwenyewe.