Natafuta wakala wa MDF boards

Natafuta wakala wa MDF boards

Joasi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
766
Reaction score
680
Poleni na majukumu.

Nahitaji kupata wakala wa MDF, MARINE BOARDS

Au mnawasiliana ya kiwanda kwa hapa Tanzania

Mwenye connection animation Tafadhali.
 
Wasiliana na hawa, wanaweza kukusaidia:

BULK GROUP OF COMPANIES

HEAD OFFICE:


P.O Box 3091, BULK Centre, BULK Road, near to Arusha Municipal Deport (Near to Doctor Mohamed Hospital) Arusha,

Tanzania. Tel: +255 786 318 318 / + 255 (27) 250 7625, Email: in…@bulktz.com Web : www.bulktz.com



BRANCH.

PGDR: Dar-es-salaam
P.O Box 76488, Kurani, Next to Masai Club.

Tel +255 677 318 700 / +255 788 424 243, Email: d…@bulktz.com.
 
Poleni na majukumu.
Nahitaji kupata wakala wa MDF, MARINE BOARDS
Au mnawasiliana ya kiwanda kwa hapa Tanzania
Mwenye connection animation Tafadhali.

Nenda pale buguruni kuna Hardware kubwa inaitwa FMJ walikuwa wanaimport kutoka malawi sijajua kama wanaendelea ila watakupa mwongozo
 
Back
Top Bottom