Natafuta waiter.

vollies

JF-Expert Member
May 31, 2015
748
446
ImageUploadedByJamiiForums1468727863.704093.jpg
 
Mbona hamna shida hapo, mambo safi tu, hayo maandishi hayabadilishi efficiency kwenye kazi..
 
Wankumbusha zamani mzee wangu alikuwa hataki shamba boy anauyejua kusoma na kuandika. Na kweli it was working, vilaza hawakuwa na longo longo
 
Anafaa sana huyo, mathematics imenyooka inatosha, hayo mengine mbwembwe tu, kwani ye mwandishi wa habari?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom