nyie tumeni tuu maombi yy ndo atachanganua uko ujue wasomi wetu nyie cjui mnanini ww ukiona tangazo la kazi we tuma tu maombi usiangalie wanataka watu wa aina gani ww kama umesoma business na iyo kazi ina relate na maswala ya business we tuma tuu usijiulize you never know uko kama umesoma procurement,account,tax,marketing,HR cjui nini ww tuma tuuu kazi zenyewe mnaenda pewa training uko ulichosomea na utakachofanya tofauti
NB;Darasani na kazini ni vitu viwili tofauti....
katoa email apo nyie tumeni tuu..