Salaam wadau..natafuta Wafanyakazi wa kusaidiana nao kazi kwenye mini super market iliyopo Kunduchi Ununio.1 wa kile na 1 wa kiume..sifa ni kama ifuatavyo:
1.Awe anakaa maeneo ya karibu ili kuondoa usumbufu wa kuchelewa(Kunduchi.Tegeta.Bunju etc)
2.Ajue kusoma na kuandika vizuri
3.Awe na umri wa kuanzia miaka 18 mpaka 40
4.Awe mwaminifu na mkarimu
5.Akiwa ameshawahi kufanya kazi tajwa itakua bora zaidi.
6.Akijua computer ni bora zaidi pia
Kwa mawasiliano zaidi namba ni 0689900000 au 0715831919